Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ipo jiran vunjabei shop sinza ,segerea warembo mnaenda kufanya nn mtanyweshwa sumu njoo ule hennessy utazeeka huko ni baa ya vioo vitupu full ac
Soweto ya malamba mawili kuelekea kifuru au? Segerea road?

ndo hapo au?
 
Boss lady hawezi kulala sasa hivi anasubirii mechi ya Irani
Akilala nimekaa paleee👉👉👉 na cocastic mje mnipige
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwanza ni Wales na England au na USA?????

Utanipa report ya kigodoro keshoooo nina huo usingizi balaaa 😄
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwanza ni Wales na England au na USA?????

Utanipa report ya kigodoro keshoooo nina huo usingizi balaaa 😄
Zote zinachezwa wakati mmoja madam leo nimtoano

Hiki kigodoro tumeahidiwa tangu asubuhi hakiwekwi tuu? Mimi nilihisi kimeshanipita hivyo😁
 
Zote zinachezwa wakati mmoja madam leo nimtoano

Hiki kigodoro tumeahidiwa tangu asubuhi hakiwekwi tuu? Mimi nilihisi kimeshanipita hivyo😁
Lol kumbee ngoja nikomae basii!!
Kigodoro hadi apate vochaa nakuaminia Bossi kubwaa huwezi muangushaaa!!
 
Back
Top Bottom