Selfika na JF: Snap it. Show it

My wangu nakusubiria PM 😍


Team my zetu woteee wana tumiguu flani, tumezidiana tu rangiii β€˜wewe na My C πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee wanisubiri piemu wataka kunipa nn mie
Au ndio nitume namba untumie aftatu😁😁
 
23 bado anajitafuta huyo, ana safari ndefu sanaaa.

Temana naye tafuta kibabu chako kimoja ule pensheni kiroho safi.
WΓ‘piiiiiii vibabuuu nileee pension, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ntafutie bas, huyu wa kuzugia, main Chick yupo SA, ana 32 now namuonaa km mkubwaaaa. Uwiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…