Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekupata kamanda. Hatuwezi kufanana. Na katika utofauti wetu ndimo mna maana halisi ya maisha kama yanavyoishika katika kasayari haka kazuri tulikopewa tukaharibu. Tutakwenda kufanana mbinguni/jehanamu
 
Jamani. Mi 65+ kweli unanipachika udogo wako. Siyo kwamba unipe ukaka mkubwa na shikamoo juu tena huku ukiwa umepiga goti chini kama mabinti wa Kisukuma?

Tuvumilieni tu; na kama ilivyo mtaani, wote humu si mafurushi/mambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…