Heka heka haziwaishi sababu bado wapo kwenye balehe so ni kama kuna tuvitu tunawawasha washa huko kunako tunasababisha wasiweze kutulia.Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa ππππππ!!
Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaooooππππππ!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha!!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa πππππ
π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±Njema sana mjomba!! Good morning!!
π§π§π§π§Unakuja kufanya nini
Af lile jambo vipi chalii angu, kesho deadlineπ§π§π§π§
π€£π€£π€£π€£!Heka heka haziwaishi sababu bado wapo kwenye balehe so ni kama kuna tuvitu tunawawasha washa huko kunako tunasababisha wasiweze kutulia.
Heka heka haziwaishi sababu bado wapo kwenye balehe so ni kama kuna tuvitu tunawawasha washa huko kunako tunasababisha wasiweze kutulia.
Mnoooooo!! Yani unakuta mtu kajikwatuuuuuuuuuaaaa Kijana jamaniiiii!! Hizo swagger sasa!!
Kwanza Watu wazima Wengi wao wametuliaa akiamua kufocus nanafocus kweli kweliiii hawana shobo na vibintii wala makalio yaoooo!! Akikuchagua amekuchagua na anamaanisha!!
Tuvijana sasa full hekahekaaaa
Ndio maana ninekuambia nakuja Boss mtotoAf lile jambo vipi chalii angu, kesho deadline
Haya nakusubiri kijanaNdio maana ninekuambia nakuja Boss mtoto
πππππππKama kuna nyama choma pia ongezeaaa kabisa!!Nakupa makiss kabisaπππππ€£π€£π€£π€£
Af nikaagize bia zangu 2 bariiiidiπ
Tena Andika vizure na nyingine umezee kama zilivoo!!
Leo nachukua notes.
Tinsley sijui yuko wapi anapitwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nameza na kuchukua nyingine kwenye daftariTena Andika vizure na nyingine umezee kama zilivoo!!
Tinsley leo sijamuona kabisa atakua ametingwa kidogo!!
Nipo kimya leo
Leo nachukua notes.
Tinsley sijui yuko wapi anapitwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lenie anananga bila kupepesa manenoNipo kimya leo
nawaangaalia .
Siyo kwa hizi sifa ulizo mwaga hapa π€£π€£π€£nikimrogaaa hapo sasa c atakua zezetaaa, uwiiiiiih.
Mwanaume mpoleee na amepoaaa mnooo, yaan hana amsha amsha. Nachopendaaa sio mchoyooooooo.
Mjep naomba vocha ya 30k, ili niamini unanipenda kweli, c nimeambiwa mie wa kupewa buku buku.
Hebu waonesheeee venyeee unanijaliiiii, huhuhuh
Hahah wanasema ukweli
Miss you kipenzi πππSema neno roho yangu ipate kupona pullliiizzzzzzzzzzzzzzz πNipo kimya leo
nawaangaalia .
Kolezeaaa mamaaaa kolezeaaa wakueleweee!Hahah wanasema ukweli
vijana hao wasumbufu sana
Bora wazee tu kwanza wapo sweet na wanajua kujali .