Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo umeamua kunisakizia niwe mdogo wa wasukuma kweli!

Mbogamboga ndo muda wake wa kutrend huu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eeh kaa tu na wasukuma huko

πŸ’š πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Hii blaza blaza hii kuna kitu nanyimwa hapa muda si mrefu😜
Vocha si najua pa kuweka ama?
Nakunyimaje na wewe wa kwetu kabisa njia mojaπŸ˜…

Ila unitumie bando la mwezi maana siku hizi sijui umetekwa na pisi gani huchelewi kupotea hewani.
So hata ukipotea mwezi mzima me nadunda tu mtandaoni
 
Kumbe na Golden Tulip tumefika?

Mimi nilidhani tuliishia Johari Rotana

Lakini si nilikuachia mshiko wa kutosha bill isingekata bana


Vocha pa kuweka napajuaa...
Gilden tulip ma daddie tulikuwepooo tena kule VVIP, uwiiiiiiih.

Hela unaambiwaa uliniachia kidogo, sasa sijui wenzangu huwa unawapaga nyingi. Mie wa kuomba msaada kwa manager afanye mpango nirudi Dar,


Nimekomaa kudate na kibosile weyeeeee huhuhuh.

Vochaaaa unipe ya kueleweka, mie c ndo Main chick na umma wote unajua, ko unipe stahiki angu hapooo.

Next unipelekeeee
babeeee


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…