Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi advance hapo hawapo wa science? Nlijisemeaa nikiwa mwalimu nta deal na advance tyuuh. Na ningekua siwafatilii couz wanajitambua.
Wapo shoss!! Uwii ni wakorofii balaaa AfunAdvance boys tupu ni wana fujoo nyiee uwiii!!
 

kha ulimpiga na kitu kizito .
wakati nipo 1St na 2nd yr, niliwatapeli sana watu mtandaoni.

Hata JF enyewee wako wawili, mwanzoni walinipapatikia khaaah nkawa saulaa m1 alintumiaga 80k ya kutumia, afu baadae ananambia tukutane ubungo plazaaa nkamchanaaa,


Mwingine alintumiaga 60k,
huyu ndo anakujaga had PM kuniambia kuhusu hela, huwa namuambiaga utangazie umma wa jf mie tapeli,. Anajibu "wee chizi ulivyo huna akili utanidhalilisha bureee"

Na sibadili acc wala jina,. Afu sijariiii yaaan. Nakutana nao kwenye nyuzi zingnee.
 
Kha upo vizuri aisee 😂😂
watu hao wanatoa pesa zao kiulaini
Uzuri hauogopi so mtu hawezi kukutisha bila kusahau wewe ni jeshi la mtu mmoja.
 
yaan mitandaoni watu wanatapeliwa sana, ukiwa na customer care nzuri na mpangilio waa mtego!!
una wasaulaaa haswaaa.
Hahaha eti customer care nzuri 😂😂😂mweh na unawapata hao .
wakikutafuta unawaambiaje sasa ?

nimewaona huruma hao wakaka dah .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…