Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekuelewa mkuu..!!
Ila wakati mwingine ndiyo maana adhabu zikawepo ili kutukumbusha tunapokosea! 'Silence' siyo solution ya kila tatizo! atafanya hivi utakaa kimya kesho atakutoboa macho.!!
Ukweli ni kwamba kwa mtu kama huyo ambaye huwezi kumuadhibu physically, psychological punishment (silence treatment) would have served him/her better.
 
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Aliyekuletea ufurushi huyo yaani katuharibia wote dah! Shwaini zake hafai kabisa aisee.

Kwema lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ninasoma visa na mikasa yenu kila siku humu nabaki tu hiiiiiiiiii!! Nikimuona shemeji yako anaingia jf nitalia walah, unless awe EMT hapo nitamuelewa.

Kwema kabisa mdogo wangu, mzima weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…