Nimekutana na story humu jf eti jamaa kala pisi hapo Rungwe Hotel, nikasema hii itakuwa hotel pendwa ya wana Jf, kumbe na wewe ulishafika, heheheh, Nice mkuu
π π Pisi kali nikiona hii kali kabisa, tunavuka dar es salaam kabisaa.. kuna kuwa hakuna habari za narudi home lazima mfate ticket ilivyokatwa kama return kama kuna gape siku kazaa lazima zitimie.. tu