JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 662
Mzigooo huo cute hiyo kitaalamu tunaita back to the societyHere waiting for the vouchers![]()
Mzigooo huo cute hiyo kitaalamu tunaita back to the societyHere waiting for the vouchers![]()
Nitakutumia ka photo uone ilivyo pisi.. Haya mazari nadra, nilijua alikuwa ananifatilia mala ya kwanza alikuja hapo hapo akaniulizaga wewe ndio flani, nikasema hapa akaondoka akaenda akaaa akasepa, leo naona kachoka kuvumilia kaja straight 😅😅😅😅 mie hata sasa hivi akiniita nikamle naenda tu hatuna tabu sie 🤣Mbuzi kafia kwa muuza supu hiyoo!
🤣🤣🤣 raha sana mwanamke akikutongoza. Uzuri wa sisi vidume huwa hatunaga kulemba kama wao tukiwatongozaga, sisi tukitongozwa hata akitaka game muda huohuo anapelekewa moto
Uje utupe mrejsho mkuu
.... A nakusanya wanafunzi wapyaa 🤣🤣Nimemaliza nini tena mkuu?
Hahaaa nimalize wapi mkuu bado sana.... A nakusanya wanafunzi wapyaa 🤣🤣
Mpelekee moto wa kwenda uzuri wa huyo aliyejileta hana gharama 😅😅😅😅😅😅😅 mie hata sasa hivi akiniita nikamle naenda tu hatuna tabu sie 🤣
Sasa si uje home nikupe maujanja na wewe, nina udesa wa 6G 😅😅😅Hahaaa nimalize wapi mkuu bado sana
Kazuriii sana mwanawane hadi roho ilifurahiii 😄😄😄😄.. haka nita ka set nje kabisa ya dsm.. Siku mie nikipanga kufurahia naenda nako mwanza au Arusha nakaa nako wiki nzima 🤣🤣🤣🤣Mpelekee moto wa kwenda uzuri wa huyo aliyejileta hana gharama 😅😅😅
Hahaa madesa yatageuka madoso sitaki mambo ya ule uzi wa rikiboy mimi😂Sasa si uje home nikupe maujanja na wewe, nina udesa wa 6G 😅😅😅
ookayBado namalizia ishu moja kipenzi ntakustua!!
😋😋😋😘😘😘😘Bado namalizia ishu moja kipenzi ntakustua!!
😁😁😁😁 Basi nije gheto kwako banaaaHahaa madesa yatageuka madoso sitaki mambo ya ule uzi wa rikiboy mimi😂
Dah😂😂😂 twende vimbweta vya chuo kama upo serious na madesa😀😁😁😁😁 Basi nije gheto kwako banaaa
Na hizi mvua tutalowanaaa 🤣🤣🤣Dah😂😂😂 twende vimbweta vya chuo kama upo serious na madesa😀
😋😋 Mambo yetu hayoo.. Nitumie kiroba kimoja mzee
You will never walk alonegood ms Liverpool
