National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Mwanawane leo nimepigwa sound na mrembo matata sana 😅😅😅😅 asubuhi nime damkia mahala.. Nikasema acha nipate kahawa alafu nirudi home.. Ile nimekaa napiga coffee ghalfa mtoto kaja straight hadi kwenye meza yangu.. Namtazama anaona aibu.. Nikamuambia kaa akaka.. Mwanawane raha sana kutongozwa alafu na mtoto mkaliiii 😅😅😅..Mi leo naingia Juliana kuna zile pisi huwa zinanunua vinywaji zinamwagilia moyo huku macho juu juu zikiangalia vidume wanaoingia. Ukiwaomba kampani huwa hawakatai wale, ni suala la kuongeza vinywaji kwa meza huku mkipatana jinsi ya kumla mbususu
Aione dada wangu wa ukweli Darlin mdogo wako nimepata zari la mentari