Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh okay dear 😍@Tinsle subiria kwanza namalizia ishu moja hapa kipenzi
Ooh okay dear 😍@Tinsle subiria kwanza namalizia ishu moja hapa kipenzi
Sasa Tinsley analalamika hawezi vocha za kugombania ikabidi nimwonee huruma nikatuma na zako huko ili uangalie world cup online. 🤣
Barikiwa sana mkuu!!! Kweli Humu kama hauna speed lazima utoke KO huku unaangalia!!!Sasa Tinsley analalamika hawezi vocha za kugombania ikabidi nimwonee huruma nikatuma na zako huko ili uangalie world cup online. 🤣
Mkuu tuma na huku basi hizo vocha, ngoja nikae standby maana sijawahi kupata😂Sasa Tinsley analalamika hawezi vocha za kugombania ikabidi nimwonee huruma nikatuma na zako huko ili uangalie world cup online. 🤣
Kiuno nyiguuuuuu kishepuu shepuuuu Moja ameiizzinngggg sana!!😍Here waiting for the vouchers😛
😋😋😋😋 Umemaliza au badoHere waiting for the vouchers😛
Nimemaliza nini tena mkuu?😋😋😋😋 Umemaliza au bado
Thank you dear dah😜Kiuno nyiguuuuuu kishepuu shepuuuu Moja ameiizzinngggg sana!!😍
gorgeousHere waiting for the vouchers![]()
Aisee ni hatari ngoja ninyamazeHere waiting for the vouchers![]()
good ms Liverpool
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Mbuzi kafia kwa muuza supu hiyoo!Mwanawane leo nimepigwa sound na mrembo matata sana 😅😅😅😅 asubuhi nime damkia mahala.. Nikasema acha nipate kahawa alafu nirudi home.. Ile nimekaa napiga coffee ghalfa mtoto kaja straight hadi kwenye meza yangu.. Namtazama anaona aibu.. Nikamuambia kaa akaka.. Mwanawane raha sana kutongozwa alafu na mtoto mkaliiii 😅😅😅..
Aione dada wangu wa ukweli Darlin mdogo wako nimepata zari la mentari
Mtu na shepuuuu lakeeee👌👌👌👌👌😍😍!!