Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Boss kubwaUshua huo nautolea wapi..🤣🤣🤣
Bwana P
Boss kubwaUshua huo nautolea wapi..🤣🤣🤣
Mkuu dawa ya nn hii?
Napika mkuu vocha inahitaji uwe standby masaa yote huwezi pata vocha kama uko na shughuli nyingine ambayo itakuchukua hata sekunde Moja tu!!Hatatuma sasa, baki online dk 10 tu tukimbizane![]()
Nakusaidia kupika ili uwahi vocha mkuuNapika mkuu vocha inahitaji uwe standby masaa yote huwezi pata vocha kama uko na shughuli nyingine ambayo itakuchukua hata sekunde Moja tu!!
Uboss nautolea wapi.... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Boss kubwa
Bwana P
Usijikatae bhana 😂Uboss nautolea wapi.... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Future pastor,,,,, huu mchai chai🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umejuaje .....?Usijikatae bhana 😂
upo vyedi
Nakuona Boss kubwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umejuaje .....?
Unaniona wapi hapo....🤣🤣🤣🤣 Ili na mi nikione kisha tuonane....Nakuona Boss kubwa
Njoo upaone basi 😂😂Unaniona wapi hapo....🤣🤣🤣🤣 Ili na mi nikione kisha tuonane....
Weee unaniona kwani.... Khaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weee umekaa kwa wapi kwani....Njoo upaone basi 😂😂
nakuzoom tu hapa
Nje kwenu hapo nipo 🤣🤣Weee unaniona kwani.... Khaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weee umekaa kwa wapi kwani....
🤣🤣🤣 Mmmh mmmh mmh mmmh mmhNje kwenu hapo nipo 🤣🤣
mmh nakusubiria utoke unione🤣🤣🤣 Mmmh mmmh mmh mmmh mmh
🤣🤣🤣🤣 Mmmh umevaje nishatoka hapammh nakusubiria utoke unione
T-shirt na pensi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mmmh umevaje nishatoka hapa