Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kitaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipo bana... 😥😥😥😥😥
Kitaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipo bana... 😥😥😥😥😥
Nzuri imependezaChocolate&pink Rosy View attachment 2425190View attachment 2425191
Wala siyo tamu[emoji23]Nzuri imependeza
Njoo uchukue tu yoteNaomba kipande [emoji39]
Why him lakin..🤣🤣zimefika🤣👏👏👏👏! Say Hi to him!!! Au ni wa kike😁😁😁!!??
Kitaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebuu tuone kipande ulichokata.....😋😋😋😋🙌🙌
Nakujaaa sijala keki kitambo ndio nzuri hiyoNjoo uchukue tu yote
Sukari imezidi
Itakuwa tamu bhanaWala siyo tamu[emoji23]
sijui bhana 😂😂We kusema ukijui..🤣🤣🤣🤣 ushaelewa bhana..🤒🤒
Umeme hakuna na mkaa umenisumbua kubalanceItakuwa tamu bhana
mie nilipika siku , oven hatukuwasha vizuri ndani haikuiva .
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakujaaa sijala keki kitambo ndio nzuri hiyo
Ila unajuaga kubalance weweUmeme hakuna na mkaa umenisumbua kubalance
Nibless kwanzaa mjomba unaniachajeachaje hivi lakini???Haya banaaa miss you shangazi nilikuwepo 😘😘
Hii sijaikataEbuu tuone kipande ulichokata.....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji119][emoji119]
Nabahatishaga tuIla unajuaga kubalance wewe
sio mimi mkaa siuwezi kabisa
Aaaah sawa... Unajua sana😋😋😋😋Hii sijaikata
Amechukua mtu
Wee akili zako unazijua mwenyewe!!😅😅😅 Kidogo tuu shangazi wangu