ooh umepatia bhanaNabahatishaga tu
Leo bahati haikuwa upande wangu
Hamna bhana... Locally mtu kupika ka hvo ni ngumu... Ndo mana nasema unajua🙌🙌🙌🙌🙌Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa![]()
Tayari washaongeza jinginee..Japan 2- 1 Germduh balaa
Japan wako vyedi asieeTayari washaongeza jinginee..Japanb2- 1 Germ
🤣🤣🤣 Panya kanatua mtego afu kaacha mguu/mkia.... Mlisema mi ndo.japan etJapan wako vyedi asiee
Yanii dakika za mwisho wamejipangaa kweri kweriJapan wako vyedi asiee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Au mnanidanganya nyie ahahahahahah ila ka ndo kweli poleniiiiii🤣🤣🤣🤣Tinsley Hatupumuiiiii Leo
Hahhaah wewe ndio japana eeh🤣🤣🤣 Panya kanatua mtego afu kaacha mguu/mkia.... Mlisema mi ndo.japan et
Pongezi kwenu aiseeYanii dakika za mwisho wamejipangaa kweri kweri
Muulize atakuambia alinichagulia timu gani..🤣🤣🤣Hahhaah wewe ndio japana eeh
💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸😍😍😍😍😍🥰
Japan oyee
Japan nakumbukaMuulize atakuambia alinichagulia timu gani..🤣🤣🤣
dakika ya ngapi💃💃💃💃🤸🤸🤸🤸🤸
🤣🤣🙌🙌🙌