Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,851
Daaah jamni miwani miwani duuh..🤣🤣Sio kwa kuparangana huku!
Daaah jamni miwani miwani duuh..🤣🤣Sio kwa kuparangana huku!
Wewe waumwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ebuu kwanza.. nani anaumwa 🤣🤣🤣
Saa 1 Costarica na Spain...saa 4 Belgium na CanadaUsiku ni nani na nani wanacheza?
Tupo 10 tz hapa.. yaan wachache mno🤣🤣🤣🤣🤣Safi sana!! ✌️✌️
Unaona wanavonusurika magoli lakini uwiii!!Wewe waumwa 🤣🤣🤣
Hongera sanaa!!Tupo 10 tz hapa.. yaan wachache mno🤣🤣🤣🤣🤣
Duh nchi ganiUnaona wanavonusurika magoli lakini uwiii!!
Nimeanza kupata unafuu sasa hvi... Ila jana nilikua naumwa 🤣🤣🤣🤣🤣 afu amna kitu kita potea hapo👈👈🤣Wewe waumwa 🤣🤣🤣
Anaumwa sio kidogo!! Umeona penati hio lol!! Japan wanaloolhahhaa makubwa
huyo anaumwa eeh
mmh una vifumbo weweNimeanza kupata unafuu sasa hvi... Ila jana nilikua naumwa 🤣🤣🤣🤣🤣 afu amna kitu kita potea hapo👈👈🤣
nipo mbali na tv dearAnaumwa sio kidogo!! Umeona penati hio lol!! Japan wanalool
German Moja tayari... ilikua penatinipo mbali na tv dear
Nitaishangilia canada bcoz of my frendSaa 1 Costarica na Spain...saa 4 Belgium na Canada
wapo vizuri aiseeGerman Moja tayari... ilikua penati
Tuendelee na kubeti kwanza...🤣🤣🤣🤣🤣 Achana na lipsi utanitunhku nini.. usipofuzu 🥱🥱🤒🤒mmh una vifumbo wewe
kitapotea ndo nn
Mbali wapiii?nipo mbali na tv dear
👏👏👏👏! Say Hi to him!!! Au ni wa kike😁😁😁!!??Nitaishangilia canada bcoz of my frend
Ahsante.... Nafurahi skia hvoHongera sanaa!!
moyo wangu 🤣🤣🤣Tuendelee na kubeti kwanza...🤣🤣🤣🤣🤣 Achana na lipsi utanitunhku nini.. usipofuzu 🥱🥱🤒🤒
Huu kuisha si saa 12 au?? Unaeza ukauwahi!wapo vizuri aisee
mpaka nirudi ghetto mipira itakuwa imeisha sijui