Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Kwema jirani. Za masiku?Mkuu kwema...
Kwema jirani. Za masiku?Mkuu kwema...
Hahaha.......sio mbaya siku Moja moja unajifunza kutumia kisu na Uma Mjukuu 🤪Mimi huwa sihangaikagi nanawazangu mikono nakula Kwani hii Dunia ni yetu 😂😂😂
lol 😂😂😂😂Hiyo copy ya mimi 🤣🤣🤣
Amini tu MkuuMmmh hapo sasa ngumu kuamini mi
Ohooo jirani yangu Mjep Mungu akupe nini tena?Nampenda Mjep jamani
Mzungu wa roho
Nimeipenda hiiKwa kweli ni fedheha sana watu wazima kugombaniana vocha na watoto kama sisi majobless.
Nipo makinii kufatilia dear asante!! Mie nakua Mexico tuchuaneeee! Ikumbukwe jana nilikutandika mbiliii...leo ukabamizwaaa Saivi ngoja tusubirie tuoneee!!
Haya dear tukae stand byNipo makinii kufatilia dear asante!! Mie nakua Mexico tuchuaneeee! Ikumbukwe jana nilikutandika mbiliii...leo ukabamizwaaa Saivi ngoja tusubirie tuoneee!!
Bora hii iko 🔥🔥🔥🔥🔥! ya saa 10 ilikua imepoa hadi basi!!Haya dear tukae stand by
naona ni half time sasa
mechi ipo on 🔥🔥
mie tukifungwa hata sijali 🤣🤣
Ilikua bilabila shoo!!nipe tokeo dear 😍
Naona penalty imetoleawaBora hii iko 🔥🔥🔥🔥🔥! ya saa 10 ilikua imepoa hadi basi!!
Mweh Tunisia wapo vizuri eehIlikua bilabila shoo!!
Mexico wanamkaba sana Lewandoski jamani 🥺🥺Bora hii iko 🔥🔥🔥🔥🔥! ya saa 10 ilikua imepoa hadi basi!!
Unatuchora tu na id yako hii!Wa gomz😋🤣
Hivi mbona upo hvo wewe🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏Unatuchora tu na id yako hii!
Hapenyi mtyuuuuuuu💃💃💃Naona penalty imetoleawa
mtangazaji wa Leo nimependa sauti yake.