Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,850
Wa kwanza huyo...🤣🤣🤣hahaha balaa 😂
Wa kwanza huyo...🤣🤣🤣hahaha balaa 😂
Ukizoea si mbali unaenda na kurudi tu.Walaaa ni vile mbali tuu..
Tukujue na wewe 🤣🤣🤣Wa kwanza huyo...🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Wee kuwezaUkizoea si mbali unaenda na kurudi tu.
Ndio tena naweza hata naenda gomz na kurudi🤣🤣🤣Wee kuweza
Hiyo copy ya mimi 🤣🤣🤣Tukujue na wewe 🤣🤣🤣
Mmmh hapo sasa ngumu kuamini miNdio tena naweza hata naenda gomz na kurudi
Umeme hamnaTinsley unaangalia Denmark na Tunisia
Bora hata Mpira umepoaaa kweli!! Hivi sa moja ni nani na nani??Umeme hamna
Nakaziaaaaaaaaaaaaaa... kwako ziro brain!!!Tukujue na wewe 🤣🤣🤣
Mi ratiba zao hata sielewi kabisa anBora hata Mpira umepoaaa kweli!! Hivi sa moja ni nani na nani??
Kaa kwa kutulia kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣 tusubirMr vocha karibu sana selfika tulikumiss mnoooo!!!
Shikamoo boss kubwa Africa Asia na Qatar kwako Mjep!
kukaa tu ngoja nilale kabisa!😁Kaa kwa kutulia kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣 tusubir
Lala uone navo kupiga KO hzo vocha zikitumwakukaa tu ngoja nilale kabisa!😁
Bila bilaHuu mpira 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!! Umepoaaaaaaa mweh!! ngoja tuone cha pili!!
Nimeacha kugombania vocha mie huwa wananipiga Ko mchana kweupeeee 😂😂😂😂! Sijawahi ambulia so sijisumbui hataLala uone navo kupiga KO hzo vocha zikitumwa
Mbona jana ilikua zipo zipo tuu au wee ndo laini mojaNimeacha kugombania vocha mie huwa wananipiga Ko mchana kweupeeee 😂😂😂😂! Sijawahi ambulia so sijisumbui hata
Mpira hauna vibe kabisa!!Bila bila