Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,765
- 58,328
Mambo👋👋👋👋😜😜Mexico wanamkaba sana Lewandoski jamani 🥺🥺
Mambo👋👋👋👋😜😜Mexico wanamkaba sana Lewandoski jamani 🥺🥺
sikuona hiiWa gomz😋🤣
Unamchoraa tu mwenzio!!Mambo👋👋👋👋😜😜
Poa MkuuMambo👋👋👋👋😜😜
Kuamua tuu... Kunichunia😥😥😥😥😥😜sikuona hii
mambo
dakika ya 66Hapenyi mtyuuuuuuu💃💃💃
Hapana sijacheki... Macho yanasumbua.. 🥺🥺🥺🥺Poa Mkuu
za jioni , unaangalia mechi au bado ?
Kabisa! Tutaona after 90'ndo mpira huo mama
tusubiri tuone
Nisamehe MkuuKuamua tuu... Kunichunia😥😥😥😥😥😜
Pole ,Hapana sijacheki... Macho yanasumbua.. 🥺🥺🥺🥺
Sawq huna baya na mtu wewe😋😋😍😍Nisamehe Mkuu
walai sijaona
wanacheza IlaKabisa! Tutaona after 90'
Thank alot... 🙏🙏🙏Pole ,
Get well soon 🙏
AsanteSawq huna baya na mtu wewe😋😋😍😍
Yanii Ndio nimeangalia hapa naona ipo saa ! Ntakomaa niangalie ivoivo Japo ntakua hoiiiii na usingiziwanacheza Ila
vipi utaaangalia mechi ya France vs Australia
sio ya kukosa hiyoYanii Ndio nimeangalia hapa naona ipo saa ! Ntakomaa niangalie ivoivo Japo ntakua hoiiiii na usingizi
Tuvumilie tuangalie Jamani!sio ya kukosa hiyo
ngoja nione usingizi Ila duh
Nimekaa kribu na taa ili nisisinzie ngoja tuoneTuvumilie tuangalie Jamani!
Kwahio Mi ndio nna baya nanani??🙄🙄🙄😁🤣🤣🤣🤣Sawq huna baya na mtu wewe😋😋😍😍