π€£π€£π€£π€£Acha kabisaaa
Unamqliza unakiss simu afu unaiweka chini ya mto, unalala.
Zitamfikia
Momo the best thing happenned in 2022 π€£π€£π€£π€£
Pole dearMvuaaa
Ilinikomesha
Maana nilikuwa nazururaa huko
Ndioo bora hapaMwagaaa hapaa
Uzi utamaliza chaji yako buree
Eeh asije kukauka koo akaumwa af tukakosa uhondo bureNgoja nikakuandalia na maji ya kunywa
Unavuruga huku unashushia maji
Wapambe wa faida π€£Eeh asije kukauka koo akaumwa af tukakosa uhondo bure
Anataabikaje na sie tupo kwa mfano aaah haiwezekani πWapambe wa faida π€£
Hatuwezi acha somo ataabikee
Dada jambaziiiiiπNiogope nn π€£π€£π€£π€£π€£
Wasap yangu yenyewe ukiingia tu inakuomba Face Id
Saa ngapi utanichunguza??
Yan me chat, futa, chat, futa siwezi π€£
Sio jambazi π€£ ila kuna wambea kama nyie, unampa mtu apige cm maybe, akimaliza anafanya na vingineβ¦Dada jambaziiiiiπ
Watu wa hivyo wanaboa sana, umbea uko damuni.Sio jambazi π€£ ila kuna wambea kama nyie, unampa mtu apige cm maybe, akimaliza anafanya na vingineβ¦
Nilimpaga mtu cm aongee
Kamqliza kaingia chrome kacheck jf natumia jina gani π€£
Dah
Nikaona ooh
Yaan naimani atakuwa ashanisahau
Amemix files π€£Kwanza unafuta sms za nini, kwani umeiba mutu ya mutu?
Hilo sasa ni tatizo ππAmemix files π€£
Eeh kuepusha yote hayo πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ sasa si utulie na mutu moja?
Mimi hapa.. afu mbona tayar nishaselfikaπ€π€π€ππ
ππππππππ₯±π₯±π₯±Katuacha kwenye mataa!! Muite akuje mwambie tunasubiri blessings
mmh sijaonaMimi hapa.. afu mbona tayar nishaselfikaπ€π€π€ππ
Ulilala wewe....π€π₯±π₯±π₯±π₯± Nimeweka kweli tena.....π€π€ππmmh sijaona
Ni njemathanks
camera tu hii mama
habari yako
nipo macho kodoUlilala wewe....π€π₯±π₯±π₯±π₯± Nimeweka kweli tena.....π€π€ππ