Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio mm bana😁😁😁
Sasa mwenzio siasa wewe huku unafanyaje kama sio tabia mbaya tu hizπŸ˜†πŸ˜†
 
Kazi nafanya yani nafanya kazi mno.
Unadhani kwa nn siwi mnene kwa sabb kazi zinanizidiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkiamka asubui naanzia shamba kwanza, natoka sa kumi naenda kutafuta kuni
Sasa wife material si ndo wewe sasa
Halafu kuna wenzangu na mie Depal na Carleen wamelegea hao
Tulkua tumepanga mwaka huu tuwacheze ila mpaka saiv bila bilaπŸ˜’
Muoreweeeeeeeeee jaman Carleen na Depal
 
Sio mm bana😁😁😁
Sasa mwenzio siasa wewe huku unafanyaje kama sio tabia mbaya tu hizπŸ˜†πŸ˜†
Aaah! Siasa mie za nini.. Kuchoshana akili tu, huku maisha ya mtanzani ili yasonge hayana utaifa tena bali ni jitihada za mtu binafsi.. Kuna siku nimekaa napiga nae story ananitajia member wa jf ambao wamewaka moto, nikasema hata siawajui hao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… maana hata account sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…