National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Kazi nafanya yani nafanya kazi mno.Dada hiyo ni uwongo bana
Ungekua na vikucha vizuri hivoπ
Sidhan hata kazi unafanya jaman
ππππAsanteeKaribuni tujiumizeπ
View attachment 2420099
π π π π Sema bi mkubwa wako ni π₯π₯π₯π₯Swadakta kabisaaa π€£ unaeza pewa hata kesi ya murder kisa tu wowowo la Rumaiya
Vp umemuelewa bi mkubwa wangu nini mkuu National Anthemπ π π π Sema bi mkubwa wako ni π₯π₯π₯π₯
π π π Hata nikiwaelewa hawanitaki kabisaa, kama nina ebola vile π€£π€£Vp umemuelewa bi mkubwa wangu nini mkuu National Anthem
Niambie shangazi Antonnia mpenthi πππNakwambia saivi kafika za dec 2021
Usiseme hivyo bana i can feel your pain alafu bi mkubwa yupo single ila utawezana na ile tandam? ππ π π Hata nikiwaelewa hawanitaki kabisaa, kama nina ebola vile π€£π€£
Chuchuuuu tototooooo ajigijigiijiiii π₯°π₯°π€£π€£π€£π€£ kwani familia mmenishinda?
Asante MjukuuKama hivo ni vizuri !! Safari njema Babu Enjoy your weekend!!
Alhamdulillah namshukuru Mungu hofu ilikuwa kwako ila baada ya kuona msosi mezani nishajua u bukheri wa afya. π Ndio umegoma kurudisha Yna2 π₯Ί
Rudishaa mama ninihuuuuInapendeza
Yna2 haiwezi Rudi kijana wangu..baki hapo hapo kwenye rumaiya π
Sawa, ngoja nikutumie ili Tozo ikajenge vyumba vya madarasa π€ͺKwa simu
Wote na serikali tufaidi