Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

My lovely wife Lovelovie nina furaha sana kukutana na mwanamke mkarimu, mpole, mwenye busara na taswira ya maendeleo kama wewe. Mwanzo wa safari yetu ilikuwa ya hekaheka sana ila saivi ni mapendo tele yamejaa. Wengi wamejaribu sana kututenganisha ila vimegonga mwamba tumebaki imara kama mlima Kilimanjaro. 🥰💕❤️🤗 Happy birthday my love! Unataka vocha ya mtandao gani bebii
 
Back
Top Bottom