Imeniuma sana π ni kwanini huyu Antonnia akufungie pm chap namna hiyo au kuna mtu alikuwahi ndio akaamua aifunge tena. Mfungulie mwanetu tonnia ana mengi yakukuambia ujue.

Naumia sana kwa kweli na nia yako ni ya dhati kabisa kwake. Wala hutaki mambo mengi ila amekufungia mlango hata kuwa na chembe ya huruma akufungulie pm uwe unampa mipango mizuri ya hela anaogopa. π₯Ί Tusikate tamaa tuendelee kumbembeleza nawewe usiache kumbembeleza one day yes!

π’π’π’π’ Nateseka sana humu, hanitaki kabisaaa, kuna siku nimewasha gari kutoka dar hadi huko alipo nimefika kahama akaninunia hapa, hata salama akawa hataki, ebu ona mafuta kiasi gani nilichoma ππ