Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee mjomba kasema tupambane nahali zetu eti hatumwambii Ailavyu hata ya uongo na kweli tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Madame tonnia kweli kwa umri wako na body lako lenye hips tamu huna kitambi kifua kizuri maskio yako matamu sana ukiyalamba na bado National Anthem anakuwa mjeuri na mbahili kweli. Mkuu National Anthem nenda pm kwa Madame tonnia na vocha ipo wazi wahi sasa kabla wanga hawajafika. πŸ˜‚
 
Ntu
Hata hiyo PM amgekuwa kanifungulia labdaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huko nimepigwa pin kitambooo sanaaa
 
Vocha muweke hapahapaa selfikaaa raha ya vocha kugombaniaa banaaaa! Kwahio vocha ndio imlete pm mtu mzima kweli mjomba?? National Anthem Anthem ??
 
🀣🀣
Putin yupo na yolly wake hana habari
 
Hapa hatuzungumzii vocha za Selfika tunazungumzia vocha kwaajili yako wewe Antonnia na za wanaselfika zipo tena ametenga laki 5 kwaajili ya members wengine πŸ€—
Mie nafurahia Vocha za hapaaa selfika pm sipapendiiiii😣😣😣😣😣😣!! Ukitaka niudhike nipeleke pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…