Usiombe kupatwa na cocastic unaweza acha kazi 😅😅Hachomoki
Si ndio maana kadisapia
Coca kamweka Vacay
Bi mkubwa nimekumiss ebu fanya unibless mwanao niendelee kuringa kuwa na mama amazing 😍Mashallah...kijana ana adabu huyu.
Mama ako sijambo kabisa..nashukuru kuona u mzima kijana wangu 😊
Nimekuwekea kipenziNasubiri kipenzi
Nijazeee nijazeeeeee mamaaa weee no jazeee tyuuuuu😂😁😁😁😘😘😘😘!!Ebwanaa ndiyoooo...Mungu fundi Jamani...barikiwa kipeniz❤️😍
Santo sanaa😍Nimeiona madam umependeza sana🥰
Kijana wangu Mama ako Sina jipya...ila fanya kunibless niangalie venye nina kijana wa maana Mama ako.Bi mkubwa nimekumiss ebu fanya unibless mwanao niendelee kuringa kuwa na mama amazing 😍
Tumeipenda wenyew 😂😂ugumu ni wakawaida hakuna kitu rahis
😂😂😂😂Hainaga ujazo huo ndiyo ukweli Mamaa..wewe Ni 🔥🔥🔥🔥Nijazeee nijazeeeeee mamaaa weee no jazeee tyuuuuu😂😁😁😁😘😘😘😘!!
Ni kweli hakuna kazi rahisi.Tumeipenda wenyewugumu ni wakawaida hakuna kitu rahis