Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Usipepese hata kopeeee 😘😘😘 napita kama nilivoooooooNasubir
Usipepese hata kopeeee 😘😘😘 napita kama nilivoooooooNasubir
Nitumie tigo pesa kibungoNjoo ghetto uchukue
Mnakula nauli sasa ndio shidaWapenz hewa hawa hta ukiwaaambia watume nauli afutatu hawataki 😂😂😂
Hapana, twende nyumbani ukachukueNitumie tigo pesa kibungo
Umemtwaaa nini au ume mpokonya cocastic 😊😊Yupoo
Mzima telee kabisa..
Katekwa tayari mr vocha 😎😎Depal tunamtafuta Mr vocha yupo wapi mbona husemi Sasa
Iyo afutatu ndo iwe shida aunt😂Mnakula nauli sasa ndio shida
Biurifooo madam 🥰
Tuitishe kikao Cha kumkomboa mm nitakuwa chekinoris nani awe Rambo 😂😂😂madam atakuwa CynthiaKatekwa tayari mr vocha 😎😎
Tangulia nakujaHapana, twende nyumbani ukachukue
Nyingi hiyo 😂😂Iyo afutatu ndo iwe shida aunt😂
Asante kipenzi 😘😘Biurifooo madam 🥰
Sitaki shida na cocastic mie 😅😅😅Tuitishe kikao Cha kumkomboa mm nitakuwa chekinoris nani awe Rambo 😂😂😂madam atakuwa Cynthia
Chombo ya fundi hiyo dah naramba midomo tuu