Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂Tena ukiwakuta Hawa wa kisukuma ni noma 😂😂
Kuna msimamizi wa mkondo alikua na mkono mwepesi na stress zakeee Wasiojuja kuandika walimkoma Mbona 😁😁😁 ni walikula mabanzi nyieee!! Anawaelekezaaaa wanaandika pumba anatafuta correction anafuta anawaelekezaaaa tena pumbaaa jamani 🙌🙌🙌
 

Attachments

  • IMG_20221106_143458.jpg
    IMG_20221106_143458.jpg
    84.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom