Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
MbayaSina mume bado
Za jioni ?
MbayaSina mume bado
Za jioni ?
Kisa nn ?Mbaya
Najua unatumia Airtel usijali baadae nawewe ntakuwekea yako.Umewawekea matajiri vocha ila umeniacha mlala hoi
Poker nipe vocha
Nakunyonga usiponitumia PmNajua unatumia Airtel usijali baadae nawewe ntakuwekea yako.
😂 Ntaweka hapa uwe alert ntakutag wewe na Antonnia
😂😂😂 nimekaa na kisimu kidogo, nazitupia tu like shwaa shwaa😂 Unaspeed balaa kama umezipata zile vocha zote za tigo.
Aweke saa 3 🤣 sahivi tunaenda kuogaMie uniwekee badae kidogo bossi poker Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Saivi natoka online !!
Na wewe utarushiwa shwaa shwaaaa 😅😅😂😂😂 nimekaa na kisimu kidogo, nazitupia tu like shwaa shwaa
Afu zenyewe ni za buku buku 😋😋
Nitarushiwa nn 🤣🤸Na wewe utarushiwa shwaa shwaaaa 😅😅
Mathiwaaa 🙂🙂Nitarushiwa nn 🤣🤸
sijaona notification wala nn , piga tena.Nilikuwa dovya nakupigia simu hupokei![]()
Sitaki 😂😂Muite vizur basi mumeo jaman![]()
Na mm nije pmYangu naomba pm.
Mitajiri Ina Roho mbaya
Ina hela za bando ila bado itaweka vocha zangu jobless
