Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni yeyeeee lazima
Yaani ni aibu kufatiliana maisha watu wazima, kwanini kila mtu asishike 50 zake.

Tukikutana hapa tupige porojo then kila mtu na 50 zake, tusifatiliane mambo private ndio maana hata id tunatumia fake
πŸ˜‚πŸ˜‚ afu yuko well educated, sijui linakwama wapi πŸ™Œ
 
Me
Kutafuta hela
Kuhudumia familia
Kulinda familia

Ke
Mama (kuzaa na kulea watoto)
Mshauri mzuri sana wa Me
Kwa namna ujuavyo , acha tukuache hapo.. siku utapo fahamu.. utaelewa kwanini mwanaume anatakiwa kufurahishwa.. Nakupa mfano mdogo..

Mungu anaachia baadhi ya baraka zake pale anapo furahishwa na utii wa watoto wake.

Hapo hapo Kristo alilipenda kanisa .. Kristo ni Kichwa. Mume ni picha ya Kristo katika ndoa hata maandiko yanasema hivyo.. na jukumu kubwa la Mume ni kupenda ( kumpenda Mke ), na jukumu kubwa la mwananke ni kutii.. angalie kipi kinatangulia.. kama umesoma magazijuto simple hiyo
 
Kunywa soda nakuja kulipa tafadhali
 
National Anthem huwezi kwenda kumtongoza mtu kwenye thread ya siasa! Kuna mahala pake haya sasa mnyamwezi wangu vocha zimeombwa hapo embu sababisha basi.
Antonnia anaelewa vizuri sana, hapa anatingisha tu moyo wangu zaidi nizidi kuumia ila fresh πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯² vocha kitu gani kuna siku nilishawawekea vocha za laki na nusu sijui laki mbili humu. Vitu vidogo sana hivyo uchunguu sana Antonnia 😭😭😭😭
 
Sawa mtumishi
Ila kumbuka Mungu ni mwema kwa wanadamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…