Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakupenda sana wewe mwanamke basi tu. Sijui nifanyaje ndio ujue nakupenda.. Ulivyo inaonekana kufurahi kwa uwepo na dk sifuri
 
Aiiiiii kwamba mwanamke haitaji kufurahishwa? Mbona mnajiendekeza hivyo jaman

Atatimiza vipi majukumu yake as your partner kama kila siku unampa vilio?
Feminisn inawaharibu, haya mambo yapo kwa procedure.. kuna part ya mwanaume na part ya mwanamke.. lazima utofautishe.. ushaenda casino ukute mwanaume anafurahisha watu au mwanamke ?
 
Sema kuna neno moja alikuambia ndio nimeyaelewa maneno ya Lenie nadhani kama sio jana basi ni juzi alikwambia yeye ni mtu mzima na sio mtoto hatongozwi hivyo! Kwahyo mi nkajua ndugu yangu National Anthem ungejiongeza ila ukala kona πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unamjaza tu mjomba Wangu!! Hahahaaa!
 
Feminisn inawaharibu, haya mambo yapo kwa procedure.. kuna part ya mwanaume na part ya mwanamke.. lazima utofautishe
Hata mambo ya feminism siyajui, tuongee uhalisia hapa wa maisha yetu, mwanamke naye ni binadamu kama wewe
So kuna vitu kama binadamu anavihitaji ili vimpe furaha ana amani ya nafsi ndio aweze kutimiza majukumu yake vema kama binadamu
 
Umenena jambo ni dismainder shida National Anthem hujifunzi kumsoma mtu usikubali kubaki nyuma mnyamwezi wangu.
 
Hata mambo ya feminism siyajui, tuongee uhalisia hapa wa maisha yetu, mwanamke naye ni binadamu kama wewe
So kuna vitu kama binadamu anavihitaji ili vimpe furaha ana amani ya nafsi ndio aweze kutimiza majukumu yake vema kama binadamu
Nitakuuliza swali kabla hatujaenda mbali, nipe majukumu ya mwanamke na mwanaume kwanza kama unayajua
 
Na huyo mtu alomfata kama sio meneja sijui 🀣

Ila yule mtu ni mnaaa sijawahi ona πŸ™Œ
Ni yeyeeee lazima
Yaani ni aibu kufatiliana maisha watu wazima, kwanini kila mtu asishike 50 zake.

Tukikutana hapa tupige porojo then kila mtu na 50 zake, tusifatiliane mambo private ndio maana hata id tunatumia fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…