Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚ Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£
 
Hayo ndio maisha sasa, sio kupeana stress kwa mambo ya ajabu, tozo zenyewe kila siku zinapanda bado tena kiumbe mwingine akupe stress? Aah hapana aisee
Kwahyo sisi hatugomi kuwapa vocha ila muwe mnatoa ushirikiano kwa kuacha pm zenu wazi. Sasa mnataka tuwatongoze huku jukwaani kila mtu ajue siri zetu?
 
Kuna watu waligeuka hadi mahouse girl na mwisho wa siku wakala mzinga akaja kuwekwa ndani slay queen fulani🀣
🀣🀣
 
Hahaaha noma aisee [emoji23][emoji23]
shughuli yako kubwa .

hivi unapendaga kweli wewe ?

wanasema ukimpenda mtu , humuombi hela sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda dear tena niki fall nazama haswaaa, ila principle zangu lazima ziwe ndani yake.

Mapenzi ni kombolela ko natengeneza mazingira niwahi kubutua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo sisi hatugomi kuwapa vocha ila muwe mnatoa ushirikiano kwa kuacha pm zenu wazi. Sasa mnataka tuwatongoze huku jukwaani kila mtu ajue siri zetu?
Ila sasa mkija pm porojo zisiwe nyingi
Kabla ya kuomba no muulize mtandao gani anatumia then utume vocha hata ya buku 5

Akisha kupa no hakikisha ukituma muamala usiasahau kutuma na ya kutolea
 
[emoji23] Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.
Bora hivyo aseeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote humu selfika tunajua alikuwa anakutongoza ukampiga chini kaenda kwa lenie kapigwa chini kaenda kwa alayna kapigwa chini kaenda kwa sophy27 nako manyoya. Nikasikia alimbahatisha coca ndiko alikofilisikia. πŸ˜‚ Mnadhambi ninyi πŸ˜‚
😁😁🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 😁🀣🀣🀣🀣!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…