Ishi humo humo.Hawa ni kama wehu, ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili maana wao hawana π π π ..
Wafundishe hao wenzako kutumia akili zao vizuri, wafundishe.. kwenye hili kundi unaonekana upo matured unaweza tunza hata ndoa na mume.. ila hao wasela wengine mmmhπ€π€π€Ishi humo humo.
Point of correction ππ
Sio kwamba hatuna akili mkuuπishu ni kwamba tuko na akili kubwa sana tukiamua kutumia akili zetu.
π€ͺπ€ͺ
Wanawake tuko na sifa mbili.
Ya kwanza ni ujenzi na ya pili ni ubomoaji..tukikusudia kufanya jambo hatushindwi.tunanata na upepo π€£π€£
Mambo ni mengi
hahhahaaa π€£π€£Kabla yeye ulikuwa ukipata shida, unakufa au ilikuwaje ?
π Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.π€£π€£π€£π€£
Aki hata sikua siriaz, nilikua tu nakutania nione kama utatoa
Bana wee sisi tunapenda hela na nyie mnapenda mbususu so ngoma drooo
Tumekataaaa uje utupige tumekaa paleeeNimesema "kama" na "sio" .. radhi ya kazi gani .. wenzenu ambao wamekubali kuwa watii na wanyenyekevu kwa watu wao sasa hivi wanakula mema ya nchi π π
Kama nae unae muomba pia anateseka ?hahhahaaa π€£π€£
maisha ni kusaidiana Mjomba .
apart from mahusiano lazima msaidiane kiroho , kiuchumi , kiakili and so on
uko tayari kuona kipenzi chako kinateseka kweli ?
Hayo ndio maisha sasa, sio kupeana stress kwa mambo ya ajabu, tozo zenyewe kila siku zinapanda bado tena kiumbe mwingine akupe stress? Aah hapana aiseeπ Hapo sasa ndio umekuja kwenye uhalisia wa win win situation. Binafsi yangu mambo yakuweka kambi au koloni hapana mi kila nikihitaji kuzagamua nakuita unakuja tukimaliza nakupea chako kila mtu ashike 50 zake.
Nakushauri usiombe hela kama mtu unajua Uko na malengo nae na yeye kama anamalengo na wewe.
Lakini asilimia kubwa sana mwanamke ndie umtengeneza mwanaume akawa na malengo nae.
Kila mtu anamuwinda mwenziembwa kala mbwa
Mada ni ndefu sana hii
Kwani sie tuna shida basi π π π mtashangaaa miaka inakata tuu.. kuja kushtuka kizaTumekataaaa uje utupige tumekaa paleee
Kumfurahisha mtu mzima ni Kazi sana mjomba hao wanaobebishwa wabarikiwege tu kwakweli!!Mtabeba misalaba mizito sana, tatizo ni feminism.. wenzenu walio watii na wenyenyekevu sasa hivi wana bebika tu na kutunzwa kama vitoto vichanga π π miaka inaenda jamani jamani
Kwani tutaenda motoni kwa hilo?Kwani sie tuna shida basi π π π mtashangaaa miaka inakata tuu.. kuja kushtuka kiza
Ukitoka outing na mwamba wako make sure unachangia japo kidogo dear..Thank you dear kwa ushauri , nikidate tena nitazingatia hilo .
sema inatokea umepata shida ndo usimuombe baby wako , akusaidie utatue shida hiyo .
okay hapo kwenye kumtengenezea mazingira ndo unakuwa supportive girlfriend and more .
Wote humu selfika tunajua alikuwa anakutongoza ukampiga chini kaenda kwa lenie kapigwa chini kaenda kwa alayna kapigwa chini kaenda kwa sophy27 nako manyoya. Nikasikia alimbahatisha coca ndiko alikofilisikia. π Mnadhambi ninyi πHapana kutoka moyoni aliamua kutubariki anachopataa kaka wawatu namuombea Mungu ambariki sana Aishi nakufanikiwa miaka Maelfuuuu πππ
Akusaidie kimawazo basiKama nae unae muomba pia anateseka ?
Hii ni theory, nenda kwenye practical sasa ndo utajua hujui.Thank you dear kwa ushauri , nikidate tena nitazingatia hilo .
sema inatokea umepata shida ndo usimuombe baby wako , akusaidie utatue shida hiyo .
okay hapo kwenye kumtengenezea mazingira ndo unakuwa supportive girlfriend and more .
Amen , abarikiwe maradufuHapana kutoka moyoni aliamua kutubariki anachopataa kaka wawatu namuombea Mungu ambariki sana Aishi nakufanikiwa miaka Maelfuuuu πππ
Vipi ombi langu kwanza shangazi ππ unajua nimekufa chaka chaka nimeoza, ebu nionee hurumaKumfurahisha mtu mzima ni Kazi sana mjomba hao wanaobebishwa wabarikiwege tu kwakweli!!
Dunia inajiburuzaaa sikuhizi mjomba si wenye pesa si makapuku si weupe si weusi si warefu si wafupi kila mmoja acheza ngoma kivyakeeπ€£π€£π€£ππ!! Maisha Ndio hayahayaa Tuishi humohumoo tu