πππ wanaume hawaelewekiAnakuacha mdomo wazi
Wakti yupo broke , kila siku mnafanya imagination ya maisha yenu ya baadae... ghafla he dumps you out of nowhere.
Yaani pesa ni shetani mwingine kwa kweli .
AAaah hilo halina ubishiSina helaaa
Ila ukiniletea upuuzi nakujeuria vizuri kabisa
Kabisa mi mwenyewe seriously sipendagi jeuri wala dharauuuu zitokanazo na pesa!!Sina helaaa
Ila ukiniletea upuuzi nakujeuria vizuri kabisa
Mada mnayojadili inaonesha kama watu mlio kata tamaa.. Poleni sana nyie wamamaAAaah hilo halina ubishi
Akikuletea jeuri nawe unamchana tu au unampotezea.Kabisa mi mwenyewe seriously sipendagi jeuri wala dharauuuu zitokanazo na pesa!!
Pesa ni balaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππ!!! Ofcoz pesa inaleta jeuri fulani hivi iwe kwa mwanamke au mwanaume!!
Naangali conv zao, kama wamekata tamaa.. shida hawaanzi jiangalia matatizo waliyo nayo.. wanaanza tafuta makosa ya Me, kwa kuficha udhaifu na makosa yaoWanaume tuheshimiwe, tupendwe na tupewe haki zetu wanawake acheni kujifanya mna haki sawa na wanaume!
TuwacheeeMada mnayojadili inaonesha kama watu mlio kata tamaa.. Poleni sana nyie wamama
hawaeleweki kabisaπππ wanaume hawaeleweki
Mnaseketesha sanaTuwacheee
Nasi tuna uhuru wa kujadili chochote
Tunawaheshimu sana tu mbona na haki zenu tunawapa ipasavyoWanaume tuheshimiwe, tupendwe na tupewe haki zetu wanawake acheni kujifanya mna haki sawa na wanaume!
ππΏ on pointKabisa mi mwenyewe seriously sipendagi jeuri wala dharauuuu zitokanazo na pesa!!
Kwanini ujishushe? Sisi ni wa juuuuuuuuuuhawaeleweki kabisa
hata ujishushe vipi ni kma unapoteza muda .
Mayoo π€£π€£π€£Naangali conv zao, kama wamekata tamaa.. shida hawaanzi jiangalia matatizo waliyo nayo.. wanaanza tafuta makosa ya Me, kwa kuficha udhaifu na makosa yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi haya eleweki jaman wallahWapo ambao wamepauka ila ndio pasua kichwa balaa.
Kuna wanaume wako njema na wana true love.
Hawatabiriki hata
NdiyoooooAkikuletea jeuri nawe unamchana tu au unampotezea.
Madharau hayakubaliki hata kama umepauka hamna kuonyesha unyonge
KabisaaNdiyooooo
lazima umchane kwanza , aelewe somo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kweli yaanPesa ni balaa
ukishika hata hela ndogo , you feel like you are at the top of the world .
uitumie ikwishe , uanze kupihga hesabu [emoji23]