Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo picha ni ujanani wako embu rudi pale juu iangalie ile picha vizuri utaona kabisa ni mmama mtu mzima anaelekea zake kwenye ubibi. Ndio maana nikasema enzi za ujana wako ulikuwa pisi balaa.
😂😂😂😂😂Weeeeh limwili tu Hilo..Bado mtoto mbichi kabisa Mimi😜 ...ndiyo kwanza nipo na 31 ..huo uzee nautolea wapi !!!
 
😂😂😂😂😂Weeeeh limwili tu Hilo..Bado mtoto mbichi kabisa Mimi😜 ...ndiyo kwanza nipo na 31 ..huo uzee nautolea wapi !!!
🤭😂 Mbona sasa unaonekana umezeeka hivyo Rumaiya au ni picha imenidanganya. Mtu yoyote akiona ile picha atakubaliana na mimi hukosi 58 years. Itabidi upige full ili tuamini isije kuwa tukaanza kutongoza bibi zetu humu ndani 😂
 
Back
Top Bottom