Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli Kabisa diaa!! Unauvua utu wako kijinga tu!!
Mungu atujaalie tupate maarifa japo maisha yamebana .
tujitambue sisi wenyewe .

Leo Kuna mtu alikuwa ananiambia ukiwa Kama mchepuko , jamaa huyo hawezi kukusaidia ufanikiwe labda upate kazi , maana anajua ukipata Kazi au pesa zaidi utamuacha mchana kweupe .
 
Yako kama umeme wa Tz.. kukatika na kurudi shwaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nachekaga sanaaa.

Ktk mapenzi kinachouma, umeachana na mtu, utakuta likijiskia linatuma text "hata ujione classic au wee special sana usisahau mie nlisha kukaza" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan nachokaga,
 
Leo Kuna mtu alikuwa ananiambia ukiwa Kama mchepuko , jamaa huyo hawezi kukusaidia ufanikiwe labda upate kazi , maana anajua ukipata Kazi au pesa zaidi utamuacha mchana kweupe .
Chepuko la hivyo mbona linatabiaa mbaya 🀣
 
hahaha alikoma huyo mtu aisee
ulimchana live kweupe ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nikiwa mood off, unaweza sema siongei.

Ndo maan mie watu wengi hawajui ni mpoleee au mcharuko. Sieleweki.
 
Ma men wa hivyo washamba tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa ukikaza ndio nn? Ulikaza au tulikazana?
 
Hilo li jamaa au lichepuko la hivyo la nn sasa, ni kulitupia huko.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ma men wa hivyo washamba tu [emoji23][emoji23]

Sasa ukikaza ndio nn? Ulikaza au tulikazana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu linategemea linakuumiza, huwa nali suprise.
"Yes ulinikazaaa, na nlikua happy haswaaa, na hata sahiv yupo mwingine ananikazaa, vipi hujapata bado wa kumkaza?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akanambia "aliye kuroga amekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…