Selfika na JF: Snap it. Show it

Oooh kumbe ulishawahi kuwa kwenye industry ?

Out of topic,,, kwenye ile ajali ya juzi bukoba,, nn maoni yako ? Make tunaambiwa hali ya hewa ilikuwa mbaya na rubani aliona why aamue kutua ? Mara tunaambia uwanja hauna ile controler ya ndege,,,,, wengine wasema Ni tatzo la kiufundi ,, mara wengine mafuta!

Tufanye ni Hali ya hewa, rubani si alikuwa na uwezo wa kuamua kwenda mwanza ? Make nnavyosikia kwenye ndege huwa fuel inakuwepo extra, sio kwamba wanaweka kiwango mahususi kwa safari husika !!
 
Kwa kweli hii kazi ni hatari😢
Ulivyoelezea sasa nimetoka Mweupee😂😂😂😂
Yule mtoto wa Mabeyo ananiuma hadi leo utadhani nilimzaa Mimi.

Bora umeacha aisee ..Hii kazi kama ndo anafanya mtu wangu naweza kuwa nakesha kwenye maombi muda wote asee.

Tuelezee kidogo basi kuhusu hii ajali ya juzi..hadi sasa siamini kimasikhara watu wamekufa wakati ndege ilikuwa jirani tu na nchi kavu😭
Yule baba Pilot ameniuma kama baba yangu mzazi.
 
Mixed feelings 😇

Juu unacheka
Chini unalia
Weweee 🙃

 
Kwa mfano tuseme tu ukungu ni hatari kwa ndege, ukungu ni mawingu yanakuwa chini, ile inasababisha low visibility kwa rubani kuona runway, na mara nyingi utakuta rubani anazunguka eneo hilo karibu na airport kwa matumaini atapata visibility nzuri atue ikishindikana ndipo inabidi kuelekea airport nyengine.

Nahisi kulikuwa kuna shida sehemu zote, control tower na hali ya hewa pia, kama kuna hali ya hewa mbayainabidi control tower wakupe taarifa/warn kwamba huruhusiwi kutua kwa wakati huo.

Tatizo lingine ni pale pilot anakuwa anaendelea kutumia yupo kwenye Visual Flight Rules na anelekea kutua halafu ghafla anakutana na wingu/ukungu, hapo hutojua unakoelekea na utapoteza uelekeo.

Visual Flight Rules ni regulations ambapo pilot anakuwa na uwezo wa kuona vyema, yaani ndege ina operate kwenye nice and clear weather.

Lakini ngoja tusubiri uchunguzi.
 
Hahaa yaani
Wet n wild Kunduchi pako bomba sana na South beach resort Kigamboni
Itabidi unipelekeee, huu mwaka nataka nizururee Dar, nikitoka mazima mwakan nijue kuwa kuna sehem za Jiji nliwahi kanyaga.
 

Lakini ueleko wake ni ziwani which means alitaka kutulia kutoka SE kueleka NW, hio runway ina 31 na 13, airport zote lazima ukute namba ya hizo ends mbili za runway zipishane kwa 18, nipe hela kwanza tuendelee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…