Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi vifaa vya moto ni hatari sana.
Kuna gesi tulikaa nayo wiki 1 mtungi mkubwa 30 kgs ukakatika😂
Niliwaambia jamani hii gesi inavuja,, ilikuwa inanuka mno, wakasema kawaida..Ni Mungu tu alitunusuru haikulipuka maana harufu yake ilikuwa inasambaa jikoni kote hadi sebuleni.

Heater almanusura ichome nyumba.
Mtoto aliwasha akaitupia kwenye nguo.
Mama yake yupo nje anafua,machale yakamcheza akamuangalie mtotol kuja kustuka baadaye wanaona Moshi unatoka chumbani.

Mimi zangu kuni na mkaa.
Nikiwa na haraka natumia Kuni.
 
Yeah Kuni ni nzuri shida huku kwetu Kuni unatoa wapi. Ila sehem zingine me nkienda kuna Kuni napikia vzuri Alf chakula chake ni kutamu mno ☺️
 
Pole Sana
inahitajika umakini mno na kumuomba Mungu tu .
heater si nzuri kutumia Bora hata birika la umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…