Mimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!Kweli dear upo sahihi
life is the most important thing .
Mungu awasaidie katika nyakati hizo
naogopaga gesi , nishawahi kunusurika ajali ya gesi wakati nipo chuo.
mtu aliacha gesi inaleak ndani humo, nimerudi nikafikia kulala ndani huko
Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.Kweli dear upo sahihi
life is the most important thing .
Mungu awasaidie katika nyakati hizo
naogopaga gesi , nishawahi kunusurika ajali ya gesi wakati nipo chuo.
mtu aliacha gesi inaleak ndani humo, nimerudi nikafikia kulala ndani huko
Asante sana shemeji anguPole sana shemeji yangu kipenzi mzuri
Kibubu
AminaBarikiwa sana
bora usimruhusu apike tu mkaa hapoMimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!
Ccy yani bora hivoMimi Ndiomana nisipokuepo siruhusu kabisa binti wa kazi apikie gesi nakua na wasiwasi yaeza walipukia make Junia mtundu sana anapenda ku jaribu jaribu vitu anavyoona mnavifanya wengine...plus mabinti wengine hawako makini yanii inaeza leta balaa kama hivo! Ni Hatari sana!!
Jesus!!πππππ!!! Mbonaa hatari sana uwiiii!!Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.
Huu mwaka umekua mbaya sana mwezi wa tisa ndugu yangu aliunguliwa nyumba na vitu vya biashara vyote.
Alf alikua mjamzito
Kabisa dear!!bora usimruhusu apike tu mkaa hapo
wale akili bado hazijatulia
akipigiwa tu simu , huyo kujichekelesha tu.
Yani hua anapamba alikua na vitambaa, maua, na vingine vyote viliwaka moto dk zero vimeishaJesus!!πππππ!!! Mbonaa hatari sana uwiiii!!
thank you , nikipika utanionea huruma nakagua gesi mara mbili mbili na kiberiti .Pole sana ccy tujitahidi kua makini sana na watoto pia tuwafundishe vitu vya hatari.
Huu mwaka umekua mbaya sana mwezi wa tisa ndugu yangu aliunguliwa nyumba na vitu vya biashara vyote.
Alf alikua mjamzito
Bora yeye alipona aisee!!Yani hua anapamba alikua na vitambaa, maua, na vingine vyote viliwaka moto dk zero vimeisha
Bado hajaenda kupiga stori kwa majirani.Kabisa dear!!
Kuni kama kuni!!Wengine tushazoea kuni
Kwema lakini shemudarlingAsante sana shemeji angu
kijijini tindiga huku hkn gesi wala nn,ni kuni tuKuni kama kuni!!
Sawaπ
Hiko kitu mabinti sijui wametogwa jamani!! Nilivo sipendi umbea wa kuongea ongea na majirani mimi akija tu huwa namuweka chiniiiii namkanya vyakukanywa!!Bado hajaenda kupiga stori kwa majirani.
Huku pia kuni kwa sana mkaa na gesi napikia mara moja moja sana mimi!! Sie Tumezungukwa na mapori π!!kijijini tindiga huku hkn gesi wala nn,ni kuni tu
Majirani wanafiki jamani kuwajaza tu maneno hao wadada.Hiko kitu mabinti sijui wametogwa jamani!! Nilivo sipendi umbea wa kuongea ongea na majirani mimi akija tu huwa namuweka chiniiiii namkanya vyakukanywa!!
we uko wapi?Huku pia kuni kwa sana mkaa na gesi napikia mara moja moja sana mimi!! Sie Tumezungukwa na mapori π!!