National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Nitaubeba 🙂🙂
Niliona interview yake na ICU, heri aendelee kumfukuzia Patrick tu..
Nime cancel audiomack, nimeona kama siwaelewi 😂Nitaubeba 🙂🙂
Umemtamani jamaa watu eeh 🤔🤔Niliona interview yake na ICU, heri aendelee kumfukuzia Patrick tu..
Yule jamaa anavutia
Audiomack ha kiwaki sana, vitu vingi hainaNime cancel audiomack, nimeona kama siwaelewi 😂
Hapana, ila hapo kwa huyo alopiga naye picha hapana kwa kweliUmemtamani jamaa watu eeh 🤔🤔
Ndio maana wanachaji 5200Audiomack ha kiwaki sana, vitu vingi haina
Sema ataishia kupigwa sana huyu dada hadi achakae.. 😀😀 hakuna kitachobaki salama hapoHapana, ila hapo kwa huyo alopiga naye picha hapana kwa kweli
😇😂 sema hako ka toto ni kazuriSema ataishia kupigwa sana huyu dada hadi achakae.. 😀😀 hakuna kitachobaki salama hapo
😀😀😀 lipia ya miezi sita ufurahieNdio maana wanachaji 5200
Apple music 7500
Nakula maisha week 3, ya 4 nacancel, napumzika 1 naingia tena kwenye 1month free trial 😂😂😂😂
Hana uzuri wa ajabu hata wewe una mshinda, anatumia media tu ndio maana.. ila hamna ajabu lolote..😇😂 sema hako ka toto ni kazuri
7500*6 = 45K😀😀😀 lipia ya miezi sita ufurahie
Anao bana 😂Hana uzuri wa ajabu hata wewe una mshinda, anatumia media tu ndio maana.. ila hamna ajabu lolote..
😀😀😀😀 nakuchangia buku tano basi 🤣🤣🤣7500*6 = 45K
Hela ya maziwa ya mtoto 🤣
Hamna kitu pale, kajua kutumia mitandao na kuwakamata waandishi wa habari kuji promote, ila hana uzuri wowote wa kawaidaaa sanaaaAnao bana 😂