Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Sio kwenye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaume si mnapasianaga mazali lakini mjomba hunitakii mema shangazi ako unataka niendelee kudodaa mjomba jamaneee[emoji6][emoji6][emoji6]
Hujui[emoji848]Lol hata sizikumbuki mjomba!! Sasa zinasaidia nini mjomba dohh!!
Li zuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na lilivyokaa vizuri...daah!
OhooOoh unacho kidogo ndo maana
hauna mashavu makubwa pia
Nipende muke ya mbwa[emoji848]Unapenda mke wa mtu?
Nina kazi naeKiuno nyigu Saint Anne ndio ulidinda kabisa kunibless jicho rembua???[emoji848][emoji848][emoji848]
AarghKupigwa nini???
Mbona siijui hii kakakeInaitwa kafulafuta
Pole sanaNgoja sasa niende coco Beach 🏖️ nikale mihogo maana Yanga utasema wamebeba kombe la Dunia.
Kaka mie mzima, habari ni njema kabisa japo tuna msiba mzito lakini tumshukuru Mungu kwa yote...Post M-alone mzee habari za miezi kadhaa
Tumeamka tunaparangana hukuAmkenii amkenii amkenii 🗣️ Tinsley myoyambendi Carrasco putin Lenie Antonnia Lenie sophy27 Lovelovie Mshana Jr Carlos Tevez Wigelekelo Saint Anne mtu chake Alayna Nuzulati mawardat NARUDIA TENA AMKENII. WAPI BOSS Mjep
Jambo jema kama uzima upo. Mungu azitie nguvu familia zilizopoteza wapendwa wao na kuachia amani mioyoni mwaoKaka mie mzima, habari ni njema kabisa japo tuna msiba mzito lakini tumshukuru Mungu kwa yote...
Amen!Jambo jema kama uzima upo. Mungu azitie nguvu familia zilizopoteza wapendwa wao na kuachia amani mioyoni mwao
Poleni sana..Kaka mie mzima, habari ni njema kabisa japo tuna msiba mzito lakini tumshukuru Mungu kwa yote...