Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
I miss you Carlos Tevez
Thank you, naamini wote tupo kwenye hili.Poleni sana..
Naomba ijumaa jioni niende saluni kibungo😍Next move na hako ka bleach Lenie View attachment 2412081
Unaenda na Tinsley nibakishieni MihogoNgoja sasa niende coco Beachnikale mihogo maana Yanga utasema wamebeba kombe la Dunia.
😂😂 vibungo hoyeeeeNaomba ijumaa jioni niende saluni kibungo😍
Oyeeeee🤣🤣😂😂 vibungo hoyeeee
Me nitaweka dec,, january 2 natoa
Hello PokerAmkenii amkenii amkenii 🗣️ Tinsley myoyambendi Carrasco putin Lenie Antonnia Lenie sophy27 Lovelovie Mshana Jr Carlos Tevez Wigelekelo Saint Anne mtu chake Alayna Nuzulati mawardat NARUDIA TENA AMKENII. WAPI BOSS Mjep
Kwani kuna watu wanaangukaga?
Majunia ndio wanaangukaga 🙃🙃🙃 sie ma legend hata juu ya bomba la mvua na hakuna kuangukaKwani kuna watu wanaangukaga?
Eeeeeh! Unapenda vya chooni ati
🤣🤣🤣 hatari lakini salamaMajunia ndio wanaangukaga 🙃🙃🙃 sie ma legend hata juu ya bomba la mvua na hakuna kuanguka
Legend kibungo herself🙌🙌
Mb mjombaaa! Good morning!!✋