Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Hahah umenifurahishaaSina madhara mkuu, nimepita kwa kunyata tu![]()
Hahah umenifurahishaaSina madhara mkuu, nimepita kwa kunyata tu![]()
Kwahiyo huku kwepesi😂😂😂😂Huwezi jua, pale huenda pagumu..haha!
Furahi mkuu, maisha mafupi!!Hahah umenifurahishaa
Ndio ndiiioooo!! Atuwekee saivi buanaaUsiku Tena🥺
Tunasubiri sasahivi 😍
Ila ukimkubali huyo blaza wangu wa arsenane utakula mema ya nchiHahah umenifurahishaa
Najua basi, ila nasisitiza zoezi liendelee🤣🤣Kwahiyo huku kwepesi😂😂😂😂
Ndiyo usiku. Sa hivi nipo kwa gariUsiku kote huko Joan jamani![]()
Dada ana mguu huyoooNdio ndiiioooo!! Atuwekee saivi buanaa
Weka tu hata za zamani 🤗Ndiyo usiku. Sa hivi nipo kwa gari
Putin na pacha wake kazini 😁😁😁😂😂😂😉!!Ila ukimkubali huyo blaza sangu wa arsenane utakula mema ya nchi
Hana mbambamba.
😂😂😂😂Najua basi, ila nasisitiza zoezi liendelee🤣🤣
Mnooooo...Dada ana mguu huyooo
Hata shepu yake tu itakuwa kareeeeee
Hahaha sikuwahi kupata Ile ofa aisee. Watu wako fastaThobotoooooooo.... kimya kimya pia wapoo dear ukitaka kuamini hilo wekaa vocha uone sekunde mbili nyingiiiiiii ishadakwa na wasiojulikana!!
Kwanza mguu umenona huoMnooooo...
Tuwekee hiohio ya zamani jamani nyingine sawa badae 😘😘Ndiyo usiku. Sa hivi nipo kwa gari
Usinilinganishe expert na wanafunzi wangu makinda😂Putin na pacha wake kazini 😁😁😁😂😂😂😉!!
Mnaenda sambamba😂😁Usinilinganishe expert na wanafunzi wangu makinda😂
Uzuri hata za zamani tunazipokea Kwa mikono yote mitatu na miguu🤗Tuwekee hiohio ya zamani jamani nyingine sawa badae 😘😘
Atajifanya haoniMwambie Aje na kuselfika piaaaahhh!!!