ndiyo na mimi ikabidi nijiulize hii mathayo ilifika lini huko 56 au biblia ndiyo imeshabadilishwa sie wengine bado tuko na old version?? Halafu huyu mdogo wako si alisema yeye hasemagi uongo??
Watu8 natambua uwepo wako mkwe wangu, RRONDO leo haujapika ubwabwa? Tupia tuone kama umeimprove. Heaven Sent bado sijasahau. cute b nasubiri kitenge cha kanisani
Haya basi nitakuwa nakuamini wewe tu,, ila ile ya kwamba wewe una sauti nyembamba you said it yourself at first cute b alikazia tu ila ulivyoona kakazia ndiyo ukakanusha..