Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

National Anthem mwanangu nilipie Itune
Audiomack wanaboa 😂 au nilipie audiomack basi..
maana kitonga baadhi ya nyimbo hazidownlodiki 😂
Audiomak sijaipenda goja nijaribu spotfy, nimeachana na iship napata taaabu kweli kule ndio kulikuwa na songs zanguu zote pendwa dah .. unataka $ ngapi nianze panda mbengu hata siku mkiachana unifikirie kwanza mie
 
Uzee ndo mzuri babu G👌👌

Nisubiri hapo hapo nakuja niko mjimwema hapa.usiondoke.

Kumbukumbu inaniambia unadeni langu🫰🏿
Hahahaha.........ukikuta Mzee mrefu, amevaa Miwani ya macho anatembelea fimbo ndiyo Mimi.


Nitakuwa nimepoteza kumbukumbu kuhusu hilo deni lako, fanya kunikumbusha
 
Back
Top Bottom