Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana babuu!! Kuna swali huku walimu wanabishana hebu tusaidie babu yetu eti ndege ilivozama watu walikufa kwa kukosa hewa wengine kwa kunywa maji mengi ndio mabishano sasa kwamba kwenye ndege hakuna nafasi ya kuingiza maji wengine wanasema ipo mjukuu wako hata sijuiiii hebu nieleweshe kwanza babu!!
Ndege ina sehemu kadhaa ambazo zinaweza kuingiza Maji, Kuna mahali pa kutokea matairi ikiwa inatua au kupaa(Hii inawezekana ikachangia Kwa sehemu kubwa manake inaonekana ndege ilikuwa inajiandaa kutua) Lakini pia pembeni kwenye wings, kwenye Mlango pamoja na zile emergency doors n.k


Nina Imani wengi waliofariki, Vifo vyao vimesababishwa na Maji kuliko changiwa na kukosa hewa.
 
Ndege ina sehemu kadhaa ambazo za zinaweza kuingiza Maji, Kuna mahali pa kutokea matairi ikiwa inatua au kupaa(Hii inawezekana ikachangia Kwa sehemu kubwa manake inaonekana ndege ilikuwa inajiandaa kutua) Lakini pia pembeni kwenye wings, kwenye Mlango pamoja na zile emergency doors n.k


Nina Imani wengi waliofariki, Vifo vyao vimesababishwa na Maji kuliko changiwa na kukosa hewa.
Lol wabheja sana babu ujingaring solved!
 
Back
Top Bottom