Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeeuhhh 😂😂😂
Screenshot_20221107_160410_Gallery.jpg
 
Audiomak sijaipenda goja nijaribu spotfy, nimeachana na iship napata taaabu kweli kule ndio kulikuwa na songs zanguu zote pendwa dah .. unataka $ ngapi nianze panda mbengu hata siku mkiachana unifikirie kwanza mie
Kama $ 50 hivi 😂😂😋

Audiomack nyimbo za kawaida ndio mb, ila classic classic hivi, baadhi ya gospo au nyimbo za zamani hupati yan kwa bure
 
Kama $ 50 hivi 😂😂😋

Audiomack nyimbo za kawaida ndio mb, ila classic classic hivi, baadhi ya gospo au nyimbo za zamani hupati yan kwa bure
$ 50 mbona kama unanipiga 🤣🤣🤣 au unataka sato tuu nayo bado napigwaa dah! Nyie wanawake mtatuuua
 
Ubaya si watataka access na bank? Naogopa tu hapo 😂
Apple sio wahuni bana, tumia ABSA wapo vizuri sana kwenye online transaction na wapo na usalama wa juu, mie huwa nachofanya nina deposit hela kwenye account yangu ya apple , then narudi kwenye card nina stop kufanya any online trans, ila kama CRDB bado sanaa
 
Tia juhudi 🤣 maana na hili jua mbegu zinaweza goma kumea vizuri

0 haina shida wee 😺
Uniweke kwenye orodha juu ikitokea dharula nakuja chap chap kama team ya uokozi 🙂🙂🙂 .. acha nipande hiyo seed 🙂🙂
 
Apple sio wahuni bana, tumia ABSA wapo vizuri sana kwenye online transaction na wapo na usalama wa juu, mie huwa nachofanya nina deposit hela kwenye account yangu ya apple , then narudi kwenye card nina stop kufanya any online trans, ila kama CRDB bado sanaa
Na ndio bank yangu hiyo CRDB..

Yan uoga huo ndo unanibakiza Audiomack
 
Na ndio bank yangu hiyo CRDB..

Yan uoga huo ndo unanibakiza Audiomack
Ila upo sawa kuhofu, uzuri iPhone ( iOS ) unacholipia ni uhakika. Uje nikufundiahe basi mambo ya usalama wa mitandao na mambo yote yahusianayo na online trans tuanzie hapo kuyajenga buree kabisaa 🙂🙂🙂🙂.. fungua account ya online trans ambayo unakuwa unaweka hela tu pale unapotaka fanya muamala
 
So sad!!_
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥺🥺🥺🥺😭😭😭😭😭🥺🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Maskini binti mzuri kabisa kafa mapenaaa ushunguuu sanaaa 🥲🥲
 
Back
Top Bottom