Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitakupiga Ndoige 😂😂
Utaishiwa kubakwa ukijaribu rusha ndoige😀😀😀
Screenshot_20221107_143924_Instagram.jpg
 
Asante sana kwa kunipa nafasi ya upendeleo.😘😘😘

View attachment 2409298
Yani nikiliamulia jambo langu sishindwagi😁

Ila dada tulikuamulia wewe😆😆

Pongezi Kwa Heaven Sent na Chakorii ..🥰🥰🥰

Sasa ole wake shem darling Pep aache kutununulia vitenge vya waksii kutoka kongo😆😆
Huwezi amini hii siyo nafasi ya upendeleo..
Unastahili.


Na wala haihusiani na vurugu zenu za juzi na Dada Mkuu.
Wewe ulikuwa umeshaupiga mwingi nyuma.


Usituharibie sasa surprise.
 
Huwezi amini hii siyo nafasi ya upendeleo..
Unastahili.


Na wala haihusiani na vurugu zenu za juzi na Dada Mkuu.
Wewe ulikuwa umeshaupiga mwingi nyuma.


Usituharibie sasa surprise.
😆😆😆
Kichwa yako ni mbovu sana(zingatia nilipobold)

Maana hapa nikukubalie tu kabla hujaanza ubishi😆

Ngoja niwe mpole kuusubiria mwaka kesho 🥰🥰🥰
 
Leo nimepoteza Miwani yangu ya Kusomea, kwahiyo napata shida kidogo kuandika 🤪
🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana babuu!! Kuna swali huku walimu wanabishana hebu tusaidie babu yetu eti ndege ilivozama watu walikufa kwa kukosa hewa wengine kwa kunywa maji mengi ndio mabishano sasa kwamba kwenye ndege hakuna nafasi ya kuingiza maji wengine wanasema ipo mjukuu wako hata sijuiiii hebu nieleweshe kwanza babu!!
 
Back
Top Bottom