Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
hahahaha aiseeMimi ndio uzee unapiga hodi
Nataka nikaogelee mapema kabla gundu halijazidi
miaka inaenda , tunazidi kuzeeka 😂😂
hahahaha aiseeMimi ndio uzee unapiga hodi
Nataka nikaogelee mapema kabla gundu halijazidi
Yah chumvi ni tiba.nasikia chumvi ya mawe
inaondoa balaa , unaweka kipande kimoja.
Mniite na shangazi enu nitoe mikosi pia pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Uniite tuoge wote
mie nitaenda hivi karibuni kutoa hii nuksi.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kijebaaawewe ni mrembo na hapo upo kwnye 30's , sipati picha ulivyo binti.
chumvi nzuri sanaYah chumvi ni tiba.
Mimi huwa naitumia hata Kwenye maombi.
tutakuita aisee maana si poa 😂😂Mniite na shangazi enu nitoe mikosi pia pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
kijeba gani Ana glowing skin hivyo🤣🤣🤣🤣🤣 Kijebaaa
awwh umependeza
Asante dearawwh umependeza
beautiful kama kawa
Kabisaaa sio kwa nukseee hizi walai!!tutakuita aisee maana si poa 😂😂
yeah inabidi tuzivunje na kuzitupilia mbali .Kabisaaa sio kwa nukseee hizi walai!!
Miss you shangazi 🙂🙂 ebu tupia naked shangazi wanguNipo madam mambo vipi??
Poaaa.... Msalimie aliekuteka mdogo wangu sio kwa kutususa hukuu leo!!Nipo madam mambo vipi??
Miss you shangazi 🙂🙂 ebu tupia naked shangazi wangu
Sijatekwa dada wiki za mwisho hizo yanakuwa. Mengi na maandaliz ya mitihani ukija nyumbani maji hakuna bas kichwa kinapata motoPoaaa.... Msalimie aliekuteka mdogo wangu sio kwa kutususa hukuu leo!!
Miss you sana aunt Mdogo!!😘
Mm pia shangazi nimemiss Sana Ngoja nione namna ya kuwabariki muda huuMiss you shangazi 🙂🙂 ebu tupia naked shangazi wangu
Zaidi ya kwenda kwa babu hapo kwa majirani,, sijawahi aiseeooh my sio kabisa .
umekaa nje itakuwa ?
Lol poleni na hekaheka za maji jamani tabu ya maji ni shida sana!Sijatekwa dada wiki za mwisho hizo yanakuwa. Mengi na maandaliz ya mitihani ukija nyumbani maji hakuna bas kichwa kinapata moto