Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ndo yupo hivyo ...Utadhani kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe uongo nauweza
sio mchezo I'm happy for you .
Ndo yupo hivyo ...Utadhani kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe uongo nauweza
T Anne amekuambukiza upambe 😀😀!!Ah wapi mrembo ,pisi Kali yetu ya hapa selfika ❤️❤️
beautiful
Wakati ni single aliyekuwa sugu 🤣Ndo yupo hivyo ...
sio mchezo I'm happy for you .
Boss Jicho kama la MalaikaT Anne amekuambukiza upambe 😀😀!!
Ah wapiiThubutuuuu.... Kamera tu dear
Baby face wapi Jambazi suguu tu🤣🤣🤣Baby face🔥🔥🔥
hahah hujanifikia mieWakati ni single aliyekuwa sugu 🤣
Hata Cuzo wa Coca anawekaga zacameraBaby face wapi Jambazi suguu tu🤣🤣🤣
Nikirudi Dar inabidi kikaoge baharini kule postahahah hujanifikia mie
single niliyekubuhu 😂😂
Nyote vigoriiiii!! Si wewe wala Anne!!🔥🔥hahah hujanifikia mie
single niliyekubuhu 😂😂
🤭🤭🤭 Mbuzi wako anafaidiAaahh wape hai kondoo zako. Acha na mm nimpe hi mbuzi wangu
wewe ni mrembo na hapo upo kwnye 30's , sipati picha ulivyo binti.T Anne amekuambukiza upambe 😀😀!!
vigori wapiNyote vigoriiiii!! Si wewe wala Anne!!🔥🔥
Nini?😁😁Hata Cuzo wa Coca anawekaga zacamera
Mzunguuuuuu wa Anne huyoooo!!! 🔥🔥🔥Hii ilikua halloweenView attachment 2407752
Uniite tuoge woteNikirudi Dar inabidi kikaoge baharini kule posta
Tukatoe gundu😂Uniite tuoge wote
mie nitaenda hivi karibuni kutoa hii nuksi.
Mi simoo😂😂😂😂😂Nini?😁😁
Mzunguuuuuu wa Anne huyoooo!!! 🔥🔥🔥
Mimi ndio uzee unapiga hodivigori wapi
labda Anne
nasikia chumvi ya maweTukatoe gundu😂