nimekupa ruhusa Kaka yangu .Usiniruhusu kuzoom mdogo wangu
Weeee umenona sana dear!ah wapi
ah steki nizitolee wapi mie
pangu pakavu mie
labda juu ndo nimenonaWeeee umenona sana dear!
Hamna dear uko vizure mbona!!labda juu ndo nimenona
chini huku nasindikiza ππ
nipo kama mchaga tu mie ππHamna dear uko vizure mbona!!
Una utani π€£π€£π€£π€£ ngoja wajeeeeππππ!!nipo kama mchaga tu mie ππ
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema navizia mtume na mimi nitumeUnatutegea mjeda!
wachaga wakoje?nipo kama mchaga tu mie ππ
wanisamehe bure jamani ππUna utani π€£π€£π€£π€£ ngoja wajeeeeππππ!!
tafuta mmoja umuone ππwachaga wakoje?
Hakika mkuu,MUHIMU```
Kuna siku marafiki tutatenganahatutaonana tena wala kuwasiliana.
Wengine umri utakuwa umeendasana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbukatulivyokuwa tunachattutakumbuka tulivyokuwa tunapendanana kushirikianatutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvutukikimbizanahuku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na pichaza marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao"
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafikina kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendona moyowa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendoni kitu cha thamani sana!!
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakativizuri.
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema
Hahaha, hili gauni ni ulienda church au...nilikaa na mtu kavaa hivi kanisani kwangu!nimekupa ruhusa Kaka yangu .
Ila Ukikuta aliebarikiwa ni amebarikiwa kweri kweri!!tafuta mmoja umuone ππ
nianze kukuona wewe kwanzatafuta mmoja umuone ππ
Wee muongo mjeda huwezi selfika hata kwa mtutu wewe π!!navizia mtume na mimi nitume
hahahahaha,si kweli,mtutu kitu kingineWee muongo mjeda huwezi selfika hata kwa mtutu wewe π!!
Mimi nimeridhiaNatamani kabla sijaolewa niwe mrembooo msaaafi kama wewe Nkamu.
Nisije kutia aibu na magaga,nikamchania mtoto wa watu mashuka.
nilienda nalo church ehHahaha, hili gauni ni ulienda church au...nilikaa na mtu kavaa hivi kanisani kwangu!
Hahahaaa... hadi weyee waogopa mtutu mjeda khakhakhaaaa!!hahahahaha,si kweli,mtutu kitu kingine